mtotoMara nyingi wazazi wanapotengana huwa tunashuhudia mabishano ya nani anatakiwa kukaa na mtoto. Ni mama au baba. Kwa suala hilihili wapo watu wako mahakamaniKatika kupata jinsia yoyote ya mtoto kuna vitu viwili katika sayansi, Kuna swala la vinasaba au Chromosomes pamoja na uhai wa mbegu ya kiume pamoja na yai la mwanamke.