mtotoKila mtoto amefungika na ‘Aqiyqah yake, itachinjwa kwa ajili yake siku ya saba na atapewa jina, na atanyolewa kichwa chake (Ahmad na An-Nasaaiy). Kwa ajili ya shughuli hiyo ni lazimaFomu ya usajili itajazwa na kubandikwa picha ya mtoto ya pasipoti. Ambatanisha nakala ya cheti cha kuzaliwa. Nakala ya kitambulisho cha mdhamini wa Mtoto. Kuchangia ni mara moja