wa mawartotoUbainikaji wa Aina za Ukatili wa Watoto katika Fasihi ya Kiswahili 37 Kioo cha Lugha, Juz. 20(1), Juni 2022 tatizo lililo dhahiri katika takribani asilimia 23-40 ya watoto ulimwenguni. Kwa mujibuUtafiti wa Tanzania Demographic Health Survey (TDHS) kuhusu lishe uliofanyika mwaka 2018, unaonyesha kuna asilimia 31.8 ya watoto waliodumaa. Kwa mujibu wa takwimu